Kipato mtandaoni

Words
63
Reading
1 min
Listen
Play
9y

Steemit ni njia nzuri yaku jipatia kipato online kwa ku share na ku comments mambo mbali mbali kwenye mtandao.

Steemit haina tofauti sana na youtube kwamba mara nyingi ushavyo nakupata viewer wengi ndivyo kandri unavyo Pata lipwa.

Badala ya kuwa na ma group mengi whatsapp messenger nakujiongelesha bila malipo bora kufungua steemit account na ku share na ku comment while you get paid.

Kipato mtandaoni | Ecency