Tukifika Canaan sitaki mchanganyikiwe kila mtu shika tribe yako
Walevi mtakuwa Waleviticus
Wale wa kuitana Baby mtakuwa Babylonians
Wa kuvaa hood mtakuwa waya-hoodie
Madem wana haga big watakuwa Haggai馃槀馃槀
Wale wa kupenda salon watakuwa Thesalonians
Waluhya wa ugali ndio Wagalileyo
Mafisi tutakuwa Wafilisti馃槀馃槀馃槀